Habari za Punde

Mwenyekiti wa CCM shina la Essex Uingereza Bibi Maryam Seif agawa misaada kwa yatima kurasini.

Bibi Maryam Seif, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto hao yatima wanaoishi  Kurasini.
 Mwenyekiti wa CCM shina la Essex Uingereza, Bibi Maryam Seif,  akimkabidhi misaada hiyo mlezi wa  watoto hao yatima wa  kituo cha Kurasin jijini Dar es salaam

Mwenyekiti wa CCM shina la Essex Uingereza Bibi Maryam Seif agawa misaada kwa yatima kurasini

 Mwenyekiti wa CCM shina la Essex Uingereza, Bibi Maryam Seif akigawa misaada hiyo kwa  watoto hao yatima wa  kituo cha Kurasin jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.