Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Alhajj Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kufungua rasmi
msikiti wa Masjid Fatima Binti Rasuuli leo, katika kijiji cha
kiboje uwandani Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Alhajj Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Rais mstaafu Mzee Ali Hassan
Mwinyi wakiondosha kitambaa kuzindua rasmi msikiti wa Masjid Fatima Binti
Rasuuli leo, uliojengwa katika kijiji cha kiboje uwandani
Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Alhajj Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Rais mstaafu Mzee Ali Hassan
Mwinyi wakiondosha kitambaa kuzindua rasmi msikiti wa Masjid Fatima Binti
Rasuuli,uliojengwa katika kijiji cha kiboje uwandani
Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Alhajj Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia
wananchi wa kijiji cha kiboje uwandani baada ya kufungua rasmi msikiti wa
Masjid Fatima Binti Rasuuli uliopo katika kijiji cha kiboje uwandani Zanzibar
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Kabi
akiongoza Dua ya pamoja baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Alhajj Dkt. Mohammed Gharib Bilal kufungua msikiti wa Masjid
Fatima Binti Rasuuli uliopo katika kijiji cha kiboje uwandani Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Alhajj Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wananchi wa
kijiji cha kiboje uwandani alipowasili katika kijiji hicho leo,kwa ajili ya
kufungua msikiti wa Masjid Fatima Binti Rasuuli uliojengwa na baadhi ya
wafadhili kwa kushirikiana na Muwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe. Mohammed Raza.(Picha na Amour Nassor OMR)
No comments:
Post a Comment