Habari za Punde

Uzinduzi wa Jumuiya ya Maradho yasiyoambukiza

Kaimu Katibu wa Jumuiya ya Maradhi yasioambukiza Zanzibar (ZNCDA) akitoa maelezo ya Jumuiya yao katika uzinduzi wa Jumuiya hiyo uliofanyika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar Machi 01-2014.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya maradhi yasiyoambukiza Nchini Denmark(NCD) Bibi. Susanne Volqvartz ambao ni wafadhili wa (ZNCDA) akitoa salamu ya Jumuiya yake  katika sherehe ya uzinduzi wa  Jumuiya ya Maradhi yasioambukiza Zanzibar ulifanyika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar.

Mgeni rasmin Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Muhammed Dahoma akizindua Jumuiya ya Maradhi yasioambukiza Zanzibar (ZNCDA) katika sherehe zilizofanyika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar.

Mgeni rasmin wakati mwenye bahasha katika picha ya pamoja ya viongozi wa (ZNCDA) na wafadhi wao kutoka Denmak.
(PICHA NA MAKAME MSHENGA WA MAELEZO-ZANZIBAR).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.