Habari za Punde

Magazetini Leo Tz Bongo


3 comments:

  1. Vipi hapo Lipumba anataka kumrudi mzee Kificho?

    ReplyDelete
  2. huyu shivji tangu zamani mimi nilikuwa namshuku kuwa ni mnafiki lakini nilikuwa sina ushahidi , lakini nashukuru kuwa amejitambulisha mwenyewe kabla ya kuingia kaburini , tumwepuke mtu kama huyu mwenye kujali maslahi yake binafsi huku anajidai mwenye kusimamia haki. Hii kusema muungano ndio umetufikisha hapa , kwani tumefika wapi ktk miaka 50? hali za wananchi duni , elimu mbovu ( waliosoma ukoloni wanajua tofauti ya elimu waliopata wao na ya sasa ) , hospitali duni ( waulize waliokuwepo wakati wa mwingereza hospitali ya mnazi mmoja ilikuwa vipi wakati ule) , maji mpaka sasa tunatembea na madumu , umeme wa kuazima kidatu siku wakifunga hamna kitu , kipi cha kujivunia? huduma zote muhimu za kijamii zilikuwa bora wakati tupo chini ya mwingereza kuliko sasa , labda mtasema wakati ule tulikuwa idadi yetu kidogo , sasa kwani serikali haingalii mipango yake kutokana na idadi ya watu? inakuwa imelala usingizi wakati watu wanazaliwa na wengine kufa ?

    ReplyDelete
  3. Seif sharif amesomeshwa na pesa za muungano pale chuo kikuu cha dar .Jee umepaona hapo ulipotufikisha. Sio yeye tuu na sie wengi wengineo tumeona ndani chini ya kivuli hicho.Chini ya muungano wapemba wanamiliki ardhi kubwa Bara na miji mali isiyohamishika.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.