NEC YAWATAKA WAANDISHI WA HABARI KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI
MKUU 2025
-
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya
Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutanio wa Tume
na Waand...
1 hour ago
nakubaliana nawe ndugu duni mia kwa mia , tunanyonywa na muungano , nakupongeza sana sana kwa kuwa miongoni mwa wakweli , hakika mungu atakulipa kwa kuwa mkweli , na tunakuombea mungu akupe uadilifu , uzima na kila la heri mpaka tupate uhuru wetu kutoka kwa mkoloni tanganyika , hapana shaka wakitupa uhuru tutapiga hatua kimaendeleo ktk miaka mitano tu ambayo miaka 50 ilyopita hatujafikia.
ReplyDelete