TANZANIA YAANZA VYEMA CHAN 2025
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania, Taifa Stars, imeanza kwa
kishindo michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa W...
2 hours ago
nakubaliana nawe ndugu duni mia kwa mia , tunanyonywa na muungano , nakupongeza sana sana kwa kuwa miongoni mwa wakweli , hakika mungu atakulipa kwa kuwa mkweli , na tunakuombea mungu akupe uadilifu , uzima na kila la heri mpaka tupate uhuru wetu kutoka kwa mkoloni tanganyika , hapana shaka wakitupa uhuru tutapiga hatua kimaendeleo ktk miaka mitano tu ambayo miaka 50 ilyopita hatujafikia.
ReplyDelete