Habari za Punde

Muonekano wa Kisiwa cha Kojani Pemba N'gambu ya Pili

Muonekano wa kisiwa cha Kojani unavyoonekana ngambu ya pili ya kisiwa hicho, kama inavyoonekana pichani majengo ya kisiwa hicho yanavyoonekana.  

Wananchi wa kisiwa cha Kojani wakiwa katika moja ya madau yanayotumika katika usafiri kwa wakaazi wa kisiwa hicho na hutozwa shilingi 200/=  kwa safari moja .




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.