Habari za Punde

Wadau wa Habari wakikata kiu

Wadau wa habari wapita maji safi na salama wakati wakiwa katika ziara yao, kutmbelea Wananchi wanaoishi katika mazingira magumu, katika moja ya shehia zilioko katika mpango salama wa TASAF kunusuru Kaya Masikini, katika kijiji cha shehia ya kikungwi Unguja

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.