Habari za Punde

Wananchi Wakifuatilia Bunge la Katiba kupitia TV.

Wananchi wakifuatilia mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba Tanzania kupitia Kituo cha Television ya Taifa TBC, kikiripoti moja kwa moja kutoka Dodoma. Wakiwa katika moja ya mskani ya kikwajuni weles. Wakati Mhe Tundu Lisu akitowa mawazo ya Wajumbe  Wachache.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.