Habari za Punde

Utafutaji Nishati huo

Gari ya aina ya Suzuki 'Carry' ilipokutwa na shehena ya Kuni maeneo ya Kama kuelekea hoteli ya Sea Cliff.
 
Bado kuna na mkaa ndio nishati kuu zinazotumika kupikia katika visiwa vya Zanzibar.
 
 Picha na Ali Sultan

1 comment:

  1. Ama kweli Wazungu wakutuita sisi Wa Africa tuna akili ndogo na wajinga, tusikasirike jamani... Hiyo gari ilivopakia hivo mpaka kuiziba kipaaa cha gari yenyewe. Kweli Dereva huyo ataweza kuangalia kioo chake cha njuu ambacho humpa picha ya gari ziliopo nyuma na kujuwa ajihami vipi kama itatokea ajali...

    Jee Usalama wa barabarani wana kazi gani ikiwa wanamuacha dereva anapakia mizigo mpaka anahatarisha hatari yake na walioko barabarani watamuacha apite hivi hivi au watamsimamisha?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.