Habari za Punde

Dk Shein aagana na Balozi mdogo wa Misri nchini

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi Mdogo wa  Misri anayefanyia kazi Zanzibar Mhe, Walid Mohamed  Ismail, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi  Mdogo wa  Misri anayefanyia kazi Zanzibar Mhe, Walid Mohamed  Ismail,  aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.