Enzi zetu zilikuwa ni ubunifu wa kutegeneza vitu mbalimbali vya mchezo kama inavyoonekana hapa Watoto wa Kijiji cha Kengwi wakipaki gari zao katika eneo la Kituo cha Kilimu kilioko kijiji kwao.Tafauti na Watoto wa siku hizi michezo yao mingi ni ya uvunjaji wa maadili ya michezo ya watoto na kuingia katika michezomya kuigana majanga kwao.
SERENGETI MWENYEJI MAADHIMISHO SIKU YA URITHI WA DUNIA: ELIMU YA UHIFADHI
KUTOLEWA KILA KONA
-
Na. Brigitha Kimario- Serengeti
HIFADHI ya Taifa ya Serengeti ambayo ni miongoni mwa Hifadhi zenye hadhi ya
urithi wa Dunia tangu mwaka 1981 inataraj...
1 hour ago
Mdau unayosema ni kweli, lakini tujiulize kwani watoto huiga au sisi wazee ndio tunaowaandalia mazingira ya kuiga??
ReplyDeleteAngalia mada ya chini hapo yenye maudhia Happy Birth day Sumaiya. 10yrs. Utaona kwamba wazee ndio waliowaandalia watoto wao wafuate mila na desturi zisifaa kabisa. Ukuliza hasa nini maana ya hizo kofia walizovaa/walizovalishwa unaweza kugundua zina maana mbaya kabisa kiasili ya huko tulikoiga, pengine hata kidini ni kinyume kabisa na mafundisho ya dini yetu.
Si watoto bwana wa kulaumiwa, ni sisi wazee, watoto mara nyingi hufuata wanayoyaona, wanayoyasikia au wanayofanywa imma na wazee nyumbani au mitaani. Sijui tuanze wapi lakini kwa kweli wazee tuna jukumu kubwa kwa Allah kesho juu ya malezi bora ya watoto wetu. Kila mmoja miongoni mwetu ni mchunga na ataulizwa juu ya kile alichokichunga.