Habari za Punde

Happy Birthday Sumaiya. 10yrs.
2 comments:

  1. Kwanini picha hizi zimewekwa hapa? Nifahamu vipi? Hizo picha ni za binafsi sana, hazina haki ya kuwekwa kwenye mtandao. Huyo mtoto ni nani? Ana umaarufu gani? Hazielimishi, haziburudishi. Wafadhili PBZ watafakari jambo hili. zanzinews.com imeambukizwa na ubinafsi. Ufisadi utafuata baadaye. Lourence

    ReplyDelete
  2. Naungana na wewe kabisa maneno yako, ninachokiona kwa Nduguyetu Othman na Blog yake ni Pumba tupu za Siasa za CCM na UVCCM na Mikutano ya Upuuzi ya Vyama vya CUF na Majengo... Hakuna Cha maana hata kimoja.. Tunachotaka nikuona Habari za maendeleo ya Miji, Vijijini na kuikosoa Serikali jinsi Miji yetu ilivokua Michafu..

    Muandishi haoni kwamba kuna umuhimu afanye interview na Wafanya biashara wa Soko la Darajani awauliz<e nini wanategemea kutoka kwenye Serikali na Manispaa yao? Aonyeshe Uchafu ulioko Soko la Kuku na Majaa Bubu yaliojaa Mbu na Mashimo. Hizo ndio habari tunazozitaka.. Halafu achukue habari za Upande wa pili wa Muungano alinganishe nazo na awaulize hawa UVCCM wanaopita wakigawa TV, Mipira ya Nage na Pesa zakuiba za Majimbo jee hayo wanayoyafanya ni mambo yakuleta maendeleo au ni kuidumaza Jamii na Vijana wetu..?

    nimeona picha Moja hapa Ati Mashindano ya Nage Kwamtipura na Wanawake Watuwazima na Waume zao wamebeba Watoto wamezunguka Uwanja na wanatizama Nage? What the hall was that.. Ukiangalia katika Miji hiyo hakuna Njia safi, Maji safi na Majaa yasiokua na kifani yamegaragara... Sasa kama UVCCM wanataka kuleta maendeleo na Kuwaimarisha Vijana hao kwanini wasitoe Elimu ya Usafi wa Miji au Kufanya Volunteer work ya Kusafisha Miji?.. Badala yake Mijitu mizima inapeteshwa Maziwa katika Viwanja kama watoto wa miaka 5 hivi... Hawa ndio Tunaoambiwa Viongozi wa Kesho

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.