Kilimanjaro Marathon 2026 Yazinduliwa Dar es Salaam
-
Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar
es Salaam, Albert Chalamila, amezindua toleo la 24 ...
2 hours ago
Assalaam alaykum
ReplyDeleteNdugu mdau, wakulaumiwa unaweza kusema ni wote, lakini mwenye gari na aliyepewa dhamana ya uendesha na usalama wa gari na abiria wake ni dereva na msaidizi wake. Suala linakuja hivi dereva na utingo kabla ya safari kuanza wanahakikisha vipi usalama wa abiria??
Kwanini dereva na utingo wake waruhusu abiria kuningi'nia kama hivi??
Huu ustaarabu wa usalama wa abiria huku kwetu haupo kabisa, na kwasababu hakuna sheria na adhabu hassa kwa wanaokiuka na kusababisha maafa ya kila siku, basi haya mambo ndio yanaendelea kila kukicha.
Ajali ikitokea utasikia jambo la kwanza anatafutwa Kamishna au mkubwa wa Polisi ili aweke "mambo sawa" kweli tutafika?? Tutamalizana kwenye ajali za barabarani kila siku, MOla atusaidie.