Makamu wa Rais, Dk.
Mohamed Gharib Bilal, akimlaki Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao alipowasili
kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Dar es Salaam kwa ajli ya ziara ya
siku sita nchini.Yuanchao amewasili jioni hii kwa ndege ndogo ya kukodi
akitokea Arusha ambako jana alitua Uwanja wa Ndege
Makamu wa Rais wa China akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama waliofika kumlaki wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JKR Dar.
Makamu wa Rais wa China Bwa. Yuanchao akisalimiana
na baadhi ya viongozi waliofika kumlaki uwanja wa ndege wa JKR. Dar.
Makamu wa Rais wa China Bwa. Yuanchao akiwapungia mkono wasanii waliofika uwanja wa ndege wa JKR, kumpokea wakati alipowasili Tanzania kwa ziara ya kiserekali.
jamaa huyu mh Bilali ndo kawa wa bara tu hahusiki na Zanzibar? sijawahi kuona hata siku moja kufanya kitu kwa Zanzibar
ReplyDelete