Habari za Punde

Mkutano wa Nne wa Jumuiya ya Wastaafu wa Serekali ya Muungano Tanzania.


Shekh. akisoma dua kabla ya kuaza kwa Mkutano Mkuu wa Wafanyakazi Wastafu wa Muungano, uliofanyika katika ukumbi wa Kituo cha Utamaduni Rahaleo.

Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Mahmoud Mussa, akifungua Mkutano Mkuu wa nne wa Wafanyakazi Wastaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika ukumbi wa jengo la zamani la RedioRahaleo Kituo cha Utamaduni Zanzibar.  
Wafanyakazi wastaaf Wanachama wa Jumuiya ya Wastaaf wa Muungano wakimsikiliza Mgeni rasmin akihutubia na kuufungua mkutano huo.
                            Wajumbe wakifuatilia Mkutano huo wakiwa katika ukumbi wa mkutano.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyakazi Wastaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mbunge Mstaaf Ndg Mohammed Ali akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Nne wa Jumuiya hiyo, uliofanyika katika ukumbi wa kituo Sanaa na Utamaduni Rahaleo.
Wajumbe wakifuatilia Mkutano Mkuu wao.wa nne uliofunguliwa na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Mahmoud Mussa.
Mkuu wa Kitengo cha Pensheni cha (PSPF) Ndg. Mohammed Salim, akifuatilia Mkutano huo wa Wastaafu wa Muungano ambao ni Wanachama wa Mfuko wa PSPF Tanzania, akisubiri kutowa Elimu kuhusiana na Mfuko wa PPF, kwa Wastaaf hao ni Wanachama wa Mfuko huo.  

Katibu wa Jumuiya ya Wafanyakazi Wasstaf  wa Jamuhuri ya Muungano na Wanachama wa Mifuko ya Penshini Tanzania ya PPF na PSPF. Akisoma Risala ya Jumuiya hiyo wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Jumuiya hiyo uliofanyika ukumbi wa Kituo cha Utamaduni Rahaleo. 

Mwalikwa kutoka Jumuiya ya Wastaaf wa Jeshi Tanzania Makamu Mwenyekiti Kanda ya Zanzibar, Captein Mstaaf Bi. Fatma Abdallah Mussa, akitowa salamu za Wastaafu wa jumuiya yao.wakati wa mkutano huo. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.