Habari za Punde

Sala ya Eidul Fitr Leiceter UK






 


An Noor Community Leicester Inapenda kuwatangazia wakaazi wa Leicester UK na vitongoji vyake kwamba Sala ya Eid ul Fitr itaswaliwa katika msikiti wa An Noor saa mbili na nusu asubuhi (08:30 am).

Anuani kamili:

170a Belgrave Gate

Leicester

LE1 3XL

Kutakuwa na kifunguwa kinywa cha pamoja mara tu baada ya kukamilika kwa sala ya Eid.

Eid Mubaarak

Wabillaahi Tawfiyq

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.