Habari za Punde

Waandishi wa Habari kutoka Zanzibar wakiendelea na ziara ya kimafunzo nchini China


MDAU akiwa katika picha na Wenyeji wa China katika jumba la historia wakiwa na mavyazi ya watawala wa enzi hizo 

WAANDISHI kutoka Zanzibar Bi Mwashamba Juma wa Zanzibar Leo na Msaidizi Afisa Habari wa Idara ya Utawala Bora Bi Safia Mohammed wakitembelea majengo ya historia mjini Beijing leo wakiwa katika ziara ya kimafunzo kuona maendeleo ya China kupitia Sekta ya habari. 9Picha na Othman Maulid Beijing China)
 
WAANDISHI wa Gazeti la Zanzibar Leo, Bi Mwashamba Juma na Ndg, Othman Maulid wakiwa katika picha ya pamoja na Deputy Editor -in- Cheif Ndg. Gao Anming katikati baada ya mkutano na waandishi na Maofisha Habari kutoka Nchi za Afrika zinazozungumza Kingereza walipotembelea Ofisi za Magazeti hayo Mjini Beijing China Leo.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.