Habari za Punde

Waandishi wa habari mafunzoni China watembelea majengo ya kihistoria

 MAOFISA Habari na Waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuingika katika Hekalu hilo la historia Nchini China wakitembelea majengoyake yakiwa yote yamefanana.wakiwa katika ziara ya kimasomo beijing.(Picha na Othman Maulid Beijing China)

 
 MAELEZO ya baadhi ya maJumba katika hekalu hilo la historia Beijing hutembelewa na Wanachi wa China kutunza Utamaduni wao na kukuza utalii wa ndani hutembelewa na Wananchi wengi nchini huo kujuwa historia ya nchi yao.
 
 
MOJA ya maeneo ya majengo hayo kama inavyooneka na kuwa na Watu wengi kutoka sehemu mbalimbali ya China hufika katika eneo hilia historia kuangalia utamaduni wa Nchi yaoenzi hizo ikiwa ni hitoria ya Vizazi vijavyo.(Picha na Othman Maulid Beijing China)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.