Habari za Punde

Wanajumuiya ya Uvuvi wa kina kirefu Wingwi wapatiwa mafunzo

 
MKURUGENZI mtendaji wa asasi za kiraia mkoa wa kusini Pemba Mussa Kombo Mussa akiwasilisha mada juu utunzaji wa mazingira ya bahari, kwa wanajumuia ya uvuvi w akina kirefu cha maji Wingwi, mafunzo yaliofanyika skuli ya Mtemani msingi mkoa wa kaskazini Pemba (picha na Shemsia Khamis, Pemba)

WANAJUMUIYA ya wavuvi kina kirefu cha maji na uhifadhi wa mazingira ya bahari Pemba, wakiwa pamoja na mkurugenzi mtendaji wa asasi za kiraia Pemba Mussa Kombo Mussa, wakiangalia eneo la fukwe wa bahari kijiji cha Wingwi, jinsi fulwe hiyo inavyoliwa na maji ya bahari (picha na Shemsia Khamis, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.