Habari za Punde

Balozi Seif azungumza na Rais wa Kampuni ya simu ya TIGO

 Makamu wa Rais wa Kampuni ya Tigo yenye makao Makuu yake Nchini Sweeden Bwana Arthur Basting akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Jengo la Msekwa ndani ya Viunga vya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.Kati kati yao Ni mshauri wa Kampuni hiyo Balozi Ami Mpungwe.
 Makamu wa Rais wa Kampuni ya Tigo Bwana Arthur Basting akimueleza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif nia ya Kampuni hiyo ya kutaka kushirikiana na SMZ Katika miradi ya mitandao ya mawasiliano.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Kampuni ya Tigo aliokutana nao kwenye ofisi yake iliyop[o jengo la Msekwa ndani ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano Mjini Dodoma.Kulia ya Balozi Seif ni Makamu wa Rais wa Kampuni ya Tigo Bwana Arthur Basting na kulia yake ni Meneja Uendeshaji wa Tigo Tanzania Bibi Sylvia Balwire, Mshauri wa Kampuni hiyo Balozi Ami Mpungwe na Meneja Mkuu wa Tigo Nchini Tanzania Bwana Diego Gutierrez.(Picha na Hassan Issa OMPR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.