Habari za Punde

Mji wa Zamani wa Lijiang China ukiwa katika Matunzo Mazuri








Moja ya majengo ya kihistoria katika eneo hili linalotembelewa na Watalii na wageni wanaofika katika kuangalia mambo ya historia ya wakati wa enzi hizo likiwa limetunzwa kwa ajili ya historia kwa vizazi vijavyo kujua historia yao.  
Mtembeza wageni akitowa maelezo kwa Wananchi waliofika kutembela eneo hili la historia katika mji wa lijiang China hutembelewa na Wananchi wengi wa China kukuza Utalii wao wa ndani huingiza kipato kikubwa kupitia Utalii huu. 
Wadau tulikuwa katika picha ya pamoja na Ndguzu zetu wa kichina wakiwa katika vyazi la Utamaduni wa Kichina katika eneo hilola historia mjini lijiang. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.