Habari za Punde

Minibus yasababisha ajali kwa kugonga gari mbili na kujeruhi wanafunzi

Wananchi katika eneo la barabara ya amani wakiangalia gari iliyogongwa ikiwa imeegeshwa pembeni ya barabara hiyo na kusababisha kujeruhi wanafunzi wakiwa kando ya barabara hiyo wakipita baada ya kugonga magari mawili, majeruhi wa ajili hiyo wamepelekwa hospitali kuu ya mnazi mmoja kwa matibabu .Gari iliosababisha ajali hiyo haiko pichani aina ya mini bus. 
Moja ya gari iliogongwa katika ajali hiyo ikiwa upande wa pili wa barabara hiyo katika maeneo ya amani kwa wazee.jumla ya gari mbili zimegongwa katika ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.