Habari za Punde

Maonyesho ya Wajasiriamali Pemba.

 Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe :Mwanajuma Majid Abdalla kushoto akioangalia moja ya biadhaa zinazozalishwa na wajasiriami wa Chake Chake
Maafisa wadhamini kutoka Wizara mbali mbali za Serikali kisiwani Pemba, wakiangalia moja ya bidhaa zinazotengenezwa na wajasiria mali wa kisiwa Cha Pemba, huko katika soko la Jumapili katikati mwenye miwani ni Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Hanuna Ibrahim Massoud.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.