Habari za Punde

Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd. Yakabidhi nyama kwa Wazee Sebleni na Welezo na Watoto Yatima Kusherehekea Sikukuu ya Eid Alhajj

Kaimu Mkurugenzi Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Ndg. Seif Suleiman, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la kugawa Nyama kwa Wazee Nyumba za Wazee Sebleni na Welezo na Nyumba za Watoto yatima ili kuungana wa  Wananchi katika kusherehekea Sikukuu ya Eid Alhajj inayoadhimishwa kwa Waislamu Wote duniani kwa Ibaada ya Hijja na kuchinja kwa mwenye uwezo.
Vijana wakiwa kazi klukamilisha kazi hiyo ya ugawaji wa nyama hiyo baada ya kuchinja

 Mtaalam wa Benjki ya Kiislam PBZ Islamic akizungumza n a Maofisa wa Pbz, katika Kijiji cha Kizimbani Unguja wakati wa zoezi hilo la uchinjaji lililofanyika kijiji hapo kwa ajili kutowa sadaka kwa Wazee wasiojiwe na Watoto yatima.PBZ hutowa moja ya faida yake kwa kusaidia jamii     

Kaimu Mkurugenzi wa PBZ Ndg. Seif Suleiman, akimkabidhi nyama Afisa Mdhamini wa Nyumba ya Wazee Sebleni kwa ajili hya Wazee wanaoishi nyumba hiyo kuungana n a Wanchi katika kusherehekea Sikukuu ya Eid Alhajj inayoadhimishwa na Waumini wa Kiislam Duniani makabidhiano hayo yamefanyika katika makaazi ya wazee hao sebleni

Wazee wanaoishi Nyumba ya Wazee Sebleni wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa PBZ Seif Suleiman, akikabidhi msaada huo kwa ajili ya kujumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam kusherehekea Sikukuu ya Eid Alhajj.










1 comment:

  1. Assalaam 'alykum.
    Ni jambo zuri sana kuwakumbuka wake wasojiweza ktk siku hii adhimu ili nao waweze kuifurahia kwa kitoweo ambacho kwao ni adimu.
    Napenda kutowa mchango wangu wa kimawazo baada ya kuona hii taarifa.
    Nadhani panahitajika maandalizi mazuri zaidi kuanzia uchinjaji,usafirishaji na ugawaji pia.Tujifunze kwa wake wenzetu ambao shughuli hizi wamezifanya kwa muda mrefu kama vile Al kheir Foudation,Interpol za Uk ambazo vipindi vyao vyao vinaonehwa kwenye tv jinsi wanvyohudumia wasojiweza katika kutowa misaada kama hiyo.
    Inaskitisha kuona ngombe anachinjwa porini,gari la wazi na mfano ya hayo.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.