Habari za Punde

Tanzania na Cuba kuendelea kushirikiana katika sekta ya habari

Mkurugenzi  Mkuu wa  Idara ya Habari  Maelezo Tanzania Bw.  Assah  Mwambene  akiongea  na  Balozi wa  Cuba nchini Tanzania. Mh. Jorge Lopez Tormo  kuhusiana na mambo mbalimbali yanayohusiana na tasnia ya Habari  baina ya Tanzania na  Cuba.
Balozi  wa  Cuba  nchini Mh.  Lopez  Toronto  akiongea na Mkurugenzi  wa  Idara  ya  Habari Bw.  Assah  Mwambene  wakati   Balozi  huyo alipomtembelea  Bw. Mwambene Ofisini  kwake  leo  (jana),  katika mazungumzo  yao walijadiliana   kuhusu  maendeleo  ya  Tasnia ya Habari  baina  ya nchi  hizo  mbili.

Picha na Benjamin Sawe. Maelezo Dar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.