Habari za Punde

Uhaba wa Saruji Zenj Umeifanya Bei kuwa juu shs 18,000/=

Mfanyabiashara ya Saruji katika maduka ya Mlandege akizungumzia kwa kupanda kwa saruji kufukia shilingi 18, 000/= kwa mfuko mmoja imebidi kuuza bei hiyo kutokana na kuipa saruji hiyo kwa bei ya jumla kwa shs 15,000/=  Saruji Zanzibar imekuwa adimi sasa karibu miezi mitatu sasa bidhaa hiyo imekuwa adimu 



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.