Habari za Punde

Wajumbe wa Serikali za mitaa na tawala za mikoa kutoka Tanga ziarani Pemba

 KATIBU wa kikundi cha Bobo Sio Dili cha Bogoa Mkanyageni Wilaya Mkoani, kinachojishughulisha na uoteshaji wa miche ya mikarafuu, Adam Kombo, akiwafahamisha wajumbe wa Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa kutoka Mkoani Tanga, jinsi miche ya mikarafuu inavyoatikwa, ujumbe huo Ukiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Mhe:Suleiman Salim Liwayo
Mwenye shada la Karafuu, wakati wa ziara ya siku tatu kisiwani Pemba..(Picha na Abdi Suleiman,PEMBA.)
MKUU wa Wilaya ya Kilindi Mhe:Suleiman Salim Liwayo, akipata maelekezo juu ya Miche ya Mikarafuu kutoka kwa katibu wa kikundi cha Bobo sio dili cha Bogoa Makanyage Adam Kombo, wakati wa ziara ya Siku tatu kisiwani Pemba, kwa Ujumbe wa Serikali za Mitaa na Tawala la Mikoa
kutoka Mkoani Tanga .(Picha na Abdi Suleiman,PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.