Habari za Punde

Uzinduzi wa Tamasha la Vijana - Youth Development Career Fair in Zanzibar

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein akisalimiana na Viongozi wakiwemo wawekezaji Kampuni na wadau wa maendeleo wakati  wa  uzinduzi wa  Tamasha la Maonesho ya Fursa za Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in Zanzibar”uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani  Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein akisalimiana na Viongozi wa mbali mbali  wakati  wa   uzinduzi wa  Tamasha la Maonesho ya Fursa za Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in Zanzibar”uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani  Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein akizungumza na Waziri wa Ofisi ya Rais,Kazi na Utumishi wa Umma Haroun Ali Suleiman kabla ya  uzinduzi wa  Tamasha la Maonesho ya Fursa za Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in Zanzibar”uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani  Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

 Baadhi ya Viongozi wa Idara za Serikali ya Mapinduzi walioshiriki katika uzinduzi wa  Tamasha la Maonesho ya Fursa za Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in Zanzibar”uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani  Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 
Vijana walioshiriki katika uzinduzi wa  Tamasha la Maonesho ya Fursa za Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in Zanzibar” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein alipozungumza nao  leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani  Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]


 
Vijana walioshiriki katika uzinduzi wa  Tamasha la Maonesho ya Fursa za Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in Zanzibar” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein alipozungumzanao  leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani  Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa  Tamasha la Maonesho ya Fursa za Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in Zanzibar” uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani  Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.]

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein akipata maelezo kutoka kwa Taki Dewji wa banda la Shell wakati alipotembelea mabanda mbali mbali mara baada ya kuzindua rasmi Maonesho ya Fursa za Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in Zanzibar”  leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani  Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.]

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein akipata maelezo kutoka kwa Rose Tesha Meneja Vipindi katika banda la VSO wakati alipotembelea mabanda mbali mbali mara baada ya kuzindua rasmi Maonesho ya Fursa za Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in Zanzibar”  uzinduzi uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani  Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.]




1 comment:

  1. Jamani natumai ni mapungufu ya kiuandishi tu haikutangaziwa rasmi kama ni Youth Development Carrier Fair in Zanzibar maana itakuwa ni aibu kwetu. inafaa iseme Career fair na sio Carrier, hizo zina maana mbili tofauti

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.