Habari za Punde

Barabara Dar Kuendelea Kuimarishwa

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Mecki Sadiki akifungua mkutano wa Wajumbe wa Baodi ya Barabara ya Mkoa wea Dar es salaam leo. Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa Bi.Theresia Mmbando na Naibu Waziri wa Kazi Mh.Makongoro Mahanga (kulia).
 Baadhi ya wajumbe wakifuatilia masuala mbalimbali mada wakati wa mkutano huo.
                    Baadhi ya wajumbe wakichangia mada wakati wa mkutano huo.
Mbunge wa Ubungo Mh. John Myika akichangia kuhusu hali ya usafi na uimarishaji wa miundombinu katika jiji la Dar es salaam.


Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Barabara ya mkoa wa Dar es salaam Mh. Idd Azzan Mh. akichangia kuhusu hali ya usafi na uimarishaji wa miundombinu katika jiji la Dar es salaam.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema(kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi wakifuatilia mkutano wa wajumbe wa Bodi ya barabara ya mkoa wa Dar es salaam leo jijini Dar es salaam.

Meneja wa TANROADS mkoa wa Dar es salaam Muhandisi J. Nyamukama akiteta jambo na baadhi ya wahandisi wa ofisi yake leo jijini Dar es salaam wakati wa kikao cha Bodi ya Barabara ya mkoa wa Dar es salaam.(Picha na Aron Msigwa -Maelezo)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.