Habari za Punde

Ujumbe wa wadi za Makunduchi watembelea maktaba ya Manispaa ya Sundsvall nchini Sweden

 Maktaba sehemu ya watoto imewekwa michezo mingi ya kitoto kama jahazi hii ndogo. Watoto wakijisikia wanataka kucheza hucheza humo humo ndani ya Maktaba
 Bi Christin akitoa maelezo ya kina juu ya maktaba. Wengine katika picha ni diwani bi, Zawadi na mwalimu mkuu wa sekondari ya Makunduchi ndugu Kinore
 Diwani Zawadi akiwa na ndugu Mohd Simba wakitafakari namna gani wadi za Makunduchi zitafikia malengo yake ya kuwa  na Maktaba.

Bi Christin na mwalimu Hafith wakitafakari jambo ndani ya Maktaba ya Manispaa

1 comment:

  1. Kwa kweli ni jambo la faraja kuona kwamba ktk safari zote za ujumbe wa Makunduchi huko Sweden swahibu yangu na mw. mwenzangu SIMBA hajawahi kukosekana.

    Ni faraja kwa vile SIMBA ni mmoja kati ya vijana wachache wenye uchu wa maendeleo ya Z'bar kama wazee watampa nafasi.

    Tunaamini yale anayoyaona huko atatamani siku moja ayaone hapa nyumbani na hivyo kujitofautisha na viongozi wengi waSMZ ambao kutwa wanatembea nje lkn. mambo ni yale yale!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.