Habari za Punde

LEO NI SIKUKUU YA MIAKA 53 YA UHURU

 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiinua juu bango linalonadi UHURU KAMILI miaka 53 iliyopita. Leo ni sikukuu ya kukumbuka siku hii adhimu
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwasili uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam kujiunga na wananchi kusherehekea sikukuu ya Uhuru miaka 53 iliyopita.( chanzo by michuziblog)

4 comments:

  1. Uhuru wa nani, wapi?

    ReplyDelete
  2. muandishi vipi mbona unafanya madudu? kusherehekea uhuru wa wapi au wanchi gani? mana kwa khabari hii hatujaona ndani bado, au ndio unaona tabu kusema? basi si bora ungesema kama kawaida tu (TANZANIA) kama kuitaja Tanganyika ni dhambi.

    ReplyDelete
  3. Inashangaza kuona Tanganyika inasherehekea siku waliopata uhuru lakini huoni sherehe ya siku ya uhuru wa Zanzibar.Ikumbukwe bila ya uhuru mapinduzi yasingekuwarahisi kufanyika.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Walioshika hatamu ndio wanasheherekea Mapinduzi yao. Sasa Kama wewe unahisi isheherekewe siku ya Uhuru wa Zanzibar watafute hao wenye huo Uhuru msheherekee pamoja.

      Delete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.