Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiinua juu bango linalonadi UHURU KAMILI miaka 53 iliyopita. Leo ni sikukuu ya kukumbuka siku hii adhimu
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwasili uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam kujiunga na wananchi kusherehekea sikukuu ya Uhuru miaka 53 iliyopita.( chanzo by michuziblog)
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
-
Na Mwandishi Wetu, Sengerema
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema baada
ya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan Kuvunja Bunge Juni ...
36 minutes ago
Uhuru wa nani, wapi?
ReplyDeletemuandishi vipi mbona unafanya madudu? kusherehekea uhuru wa wapi au wanchi gani? mana kwa khabari hii hatujaona ndani bado, au ndio unaona tabu kusema? basi si bora ungesema kama kawaida tu (TANZANIA) kama kuitaja Tanganyika ni dhambi.
ReplyDeleteInashangaza kuona Tanganyika inasherehekea siku waliopata uhuru lakini huoni sherehe ya siku ya uhuru wa Zanzibar.Ikumbukwe bila ya uhuru mapinduzi yasingekuwarahisi kufanyika.
ReplyDeleteWalioshika hatamu ndio wanasheherekea Mapinduzi yao. Sasa Kama wewe unahisi isheherekewe siku ya Uhuru wa Zanzibar watafute hao wenye huo Uhuru msheherekee pamoja.
Delete