Habari za Punde

Serikali yatakiwa kusitisha uporomokaji wa bei za filamu nchini.

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Olegabriel aliyesimama akifungua Mkutano  Baadhi ya wasambazaji wa Filamu nchini  (hawapo pichani)kuhusu kuporomoka kwa bei ya filamu, wa pili kutoka  kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini. Bi. Joyce Fissoo.Mkutano huo ulifanyika  jana jijini Dar es Salaam
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bi. Joyce Fissoo aliyasimama akifafanua jambo kwa wadau wa usambazaji wa Filamu nchini wakati wa Mkutano wa Baina yao na  Serikali uliofanyika jijini Dar es Salaam,wakwanza kulia ni Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Olegabriel na wa kwanza kushoto ni Kaimu Mwanasheria wa Wizara Bw. Patrick Kipangula.
Baadhi ya wasambazaji wa Filamu nchini wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Olegabriel (hayupo pichani) akifungua Mkutano wa wasambazaji wa Filamu nchini kuhusu kuporomoka kwa bei ya filamu. Mkutano huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.(Picha na Benjamin Sawe)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.