Kampuni ya Kichina inayofanya ujenzi katika uwanja wa kufurahisha watoto kariakoo ikiufanyia ukarabati mkubwa mtaro mwa maji machafu katika eneo hilo kuweza kusafirisha maji hayo ya mvua katika mtaro huo hadi katika mtaro mkubwa unaopeleka maji kilimani baharini.
Mafundi wakitandika makalavati kwa ajili kupitisha maji machafu na ya mvua katika mtaro huo.
RAIS MWINYI: TUIOMBEE NCHI AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
-
Mgombea wa kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),
ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.
Hussein ...
6 hours ago
Huu mtaro kama inawezekana ungeunganishwa na pale Kijangwani inaonekana tumeshindwa kabisa kupata ufumvuzi Wa kutuama maji aibu kweli.
ReplyDeleteMtaro Architecture amefeli hapo. Anahitajo atumie water Cad otherwise I see an issue already by visible eye.
Delete