Mkuu wa Shirika la Bandari tawi la Shirika la Bandari Ndg Hamad Salim , wakati wa ziara ya Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Mhe. Juma Duni akiwa katika ziara ya kutembelea Taasisi za Wizara yake kisiwani Pemba ikiwa mojaopo Shirika la Bandari Pemba kujitambulisha kwa Wafanyakazi wa shirika hilo.
Krini ya kupakulia mizigo, yenye uwezo wa
tani tano, iliopo bandari ya Mkoani Pemba, ikiwa imeshaharibika kwa zaidi ya
mwaka mmoja sasa, ambapo shirika la bandari Zanzibar linampango wa kunua
nyengine yenye uwezo wa tani 40 wakati wowote.
Wafanyakazi wa Shirika la Bandari Pemba wakimsikiliza Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Mhe Juma Duni, akiwahutubia wakati akiwa katika ziara ya kutembelea Wizara za Mawasiliano na Taasisi zake kisiwani Pemba katika ziara yake kujitambulisha kwa Wafanyakazi wake Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)
Pemba bandari bad kabisaa. Hebu name tumuombe huyo Bakhressa basi angalau atujengee mabanda ya kujistiri jua na mvua kama pale Malindi
ReplyDeleteHilo tatizo ni lenu wenyenu kwani Rais ni kutoka Pemba, Makamo wa kwanza haisemeki, Waziri wa Miundombinu yenyewe ndio huyooo na huyo Bakhresa piaaaaaa sasa tatizo ni nyinyi wenyewe hamtaki kupeleka maendeleo kwenuuuu kwani nyooooote mnaondoka mnakuja huku sasa kule atatengenezewa naniiiiiiiii abaaaaaa.
ReplyDelete