Habari za Punde

PBZ yakabidhi mabasi matatu uwanja wa ndege wa kimataifa wa A A Karume

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Juma Amour Mohamed akikata utepe kama ishara ya kukabidhi mabasi matatu kwa Meneja wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar Bi Zaina Ibrahim Mwalukuta (kushoto)  yaliyotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya kuchukulia abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume yenye thamani ya shilingi za Kitanzania Mia Tatu na Ishirini Millioni,(kulia) Mkurugenzi Masoko wa PBZ Seif Suleiman,[Na Mpiga Picha Maalum)
Miongoni mwa Mabasi yaliyotolewa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) likiwa tayari limeanza kazi kazi ya kubeba abiria wanaokwenda kupanda ndege katika Kiwanja cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume Kama inavyoonekana Pichani,[Na Mpiga Picha Maalum.]

1 comment:

  1. hawa zantel wana maana gani? kwa ninavyo fahamu mimi maana ya kuweka jina lao hapo ni kuwa wao sponsor, sasa hata kuupiga rangi huo mnara wanashindwa? au wanalipia serikalini ndio basi wakubwa wanakula pesa yote wanasahau kama kuna ukarabati unahitajika? au wameeka tu jina lao pambo hamna faida yoyote inayopatikana kiwanjani na serekalini?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.