Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndg, Abdulrahaman Kinana akisalimiana na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati wa ziara yake katikac Mkoa huo.
Katibu Mkuu wac CCM Ndg. Abdulrahaman Omar Kinana, akizungumza na Viongozi wa CCM Koa wa Kaskazini Unguja baada ya kupata taarifa ya utendaji wa utekelezaji wa ilani ya Uchanguzi na kuimarisha Chama, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa jengo la Ukumbi wa Kikobweni.wa Mkorea.
Viongozi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi wakati akiwahutubia baada ya kupokea ripoti ya utekelezaji wa ahadi za CCM kwa Wananchi wa Mkoa huo.
Wananchi wa kijiji cha Banda Kaji Chaani wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahaman Kinana alipotembelea Ushirika wa Tuko Imara cha kilimo cha mbogamboga na Migomba .
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndg Abdulrahaman Kinana akifurahia maelezo ya taarifa ya kikundi cha Ushirika Tupo Imara cha Chaani ikisomwa na Katibu wa Ushirika huo Bi.Time Sheha, akiisoma wakati wa ziara ya Katibu Mkuu, alipotembelea ushirika huo wakati wa ziara yake Wilaya ya Kaskazini A Unguja.
Mbunge wa Jimbo la Chaani Mhe Ali Juma Chepe, akitowa maelezo ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchanguzi ya CCM kwa Katibu Mkuu wa CCM alipofika kutembelea kikundi cha ushirika cha Tupo Imara Caani Banda Maji.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg, Abdulrahaman Kinana akiwahutubia wanaushirika wa Tupo Imara na kuahidi kuwapatia mipira ya kusambazia maji kwa ajili ya shamba lao la mbogamboga na migomba.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahaman Kinana akishiriki katika upandaji wa migomba katika shamba la ushirika la Tupo Imara la Kijiji cha Banda Maji Chaani Wilaya ya Kaskazini A Unguja. akiwa katika ziara yake ya kuimarisha Chama na kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Uchanguzi ya CCM.
Katibu Mkuu wa CCM akitembelea shamba la Kikundi cha Ushirika cha Tupo Imara Chaani Banda Maji Wilaya ya Kaskazini A Unguja.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndg. Abdulrahaman Kinana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijenga jengo la Tawi la CCM Chaani Mashingini. akiwa katika ziara yake katika Wilaya hiyo.
Katibu Mkuu wa CCM akishiriki katika ujenzi wa barabara katika kijiji cha Kijini ikiwa na kilomita 1.7, ya mradi wa Tasaf awamu ya Tatu, ulioibuliwa na Wananchi wa Kijiji hicho kuokoa Kaya masikini.
Katibu Mkuu wa CCM akishiriki katika ujenzi wa taifa wa barabara ya kilomita 1.7 ya mradi wa Tasaf ilioibuliwa na Wananchi wa Kijiji hicho kwarahisishia usafirishaji wa mazao ya biashara kwa urahisi kuyafikisha sokoni.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndg.Abdulrahaman Kinana, akizungumza na Wananchi wa kijiji cha Kijini Matemwe Wilaya ya Kaskazini A Unguja baada ya ujenzi wa taifa wa barabara hiyo.
Jengo la Nyumba ya Madaktari wa Kijiji cha Kijini Matemwe linalojengwa kwa Nguvu za Wananchi na Mbunge na Mwakilishi likiwa katika hatua za umaliziaji wa ujenzi wake litakuwa na nyumba za familia mbili kwa ajili wa madaktari watakaokuja kutowa huduma katika kitruo hicho cha afya Kijini Matemwe.
No comments:
Post a Comment