Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika mkutano wa siku moja uliozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Ali Juma Shamuhuna alipokuwa akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika mkutano uliofanyika leo asubuhi ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar mbele ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.)
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Bi Khadija Bakari akijitayarisha kusoma Bango kitita katika mkutano wa siku moja wa Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) Kulia Naibu Katibu Mkuu Abdalla Mzee,[Picha na Ikulu.]
Maelezo ya picha mbili za chini hayaendani na picha zilivyowekwa. Sehemu unayosema Katibu Mkuu anajiandaa kusoma Bango Kitita ndio sehemu Mh Waziri anahutubia!!
ReplyDelete