Habari za Punde

Mafunzo kwa Vijana wa Kujiendeleza Kielimu na Kiuchumi (IFOZA)

Mkufunzi kutoka Nchini Afrika ya Kusini Ndg. Steven, akitowa mafunzo katika semina ya siku tatu kwa Vijana , ilioandaliwa na Kamati ya Amani na Maridhiano ya dini ya Kiislam na Kikristo Zanzibar, mafunzo kwa Vijana Kujiendeleza Kielimu na Kiuchumi, iliowashirikisha Vijana 50 wa pande hizo mbili za Dini Zanzibar inayofanyika katika ukumbi wa Ecrotanali Zanzibar.

         Vijana wakifuatilia Mada katika semina hiyo. katika ukumbi wa Ecrotanali Zanzibar
 Wajumbe wa Kamati ya Maridhhiano ya Dini wakifuatilia mafunzo hayo katika ukumbi wa Ecrotanali Zanzibar.

 Vijana wakifuatilia mada iliokuwa ikiwasilishwa na Mkufunzi kutoka Afrika Kusini Ndg Steven, wakati wa semina hiyo iliowashirikisha Vijana wa Kiislamu na Kikristo, ilioandaliwa na Kamati ya Vijana ya Maridhiano ya Dini ya Kiislam na Kikristo. (IFOZA) 
   Mchungaji Lusungu Mbilinyi akitowa ufafanuzi kwa Vijana washiriki wa semina ya siku tatu ya kutowa mafunzo kwa Vijana jinsi ya kujiendeleza kielimu na kiuchumi kwa vijana hao.Mafunzo hayo yameandaliwa na Taasisi ya maridhiano baina ya Waislam na Wakristo. iliofanyika katika ukumbi wa Ecrotanali Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.