Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Dkt. Ted Wilson uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa sherehe za Utume (MISSION EXTRAVAGANZA) za kanisa hilo.
Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani wakiwa kwenye maandamano wakati wa sherehe za uzinduzi wa Utume (MISSION EXTRAVAGANZA) wa kanisa hilo zilizofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani wakiwa kwenye maandamano wakati wa sherehe za uzinduzi wa Utume (MISSION EXTRAVAGANZA) wa kanisa hilo zilizofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani kwenye sherehe za uzinduzi wa Utume (MISSION EXTRAVAGANZA) zilizofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Askofu Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Dkt. Ted Wilson katikati, wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Dini mbalimbali kwenye uzinduzi wa sherehe za Utume (MISSION EXTRAVAGANZA) za kanisa hilo zilizofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Dkt. Ted Wilson baada ya kuzindua sherehe za Utume (MISSION EXTRAVAGANZA) za kanisa hilo zilizofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. (Picha na OMR)
Innalillahi wainna ilahu raajiuun.Kweli Serikali haina dini.Adui wa Uislamu ni waislamu we nyewe,
ReplyDelete