Habari za Punde

Timu ya Al Hilal Wakiwa Mazoezini Uwanja wa Amaan.

 Kocha wa Al Hilal akitowa maelekezo kwa wachezaji wa timu yake wakati wakiwa katika mazoezi uwanja wa Amaan Zanzibar wakijiandaa na mchezo wao wa marudiano na timu ya KMKM unaotarajiwa kufanyika jumamosi hii katika uwanja wa Amaan Zanzibar wakiingia uwanjani wakiwa na ushindi walioupata nyumbani wanahitaji sare ili kusonga mbele na Timu ya KMKM inahitaji ushindi wa mabao matatu bila, ili kusonga mbele. 





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.