BAADHI ya karafuu polo 16 zilizokamatwa na Polisi wa
kituo cha Konde Pemba, ambazo kijana Mussa Khamis Jabu (26), aliekamatwa nazo
kwenye bandari bubu ya Mkiang’ombe, aliedai kuziokota bahari ya Kigamboni Dar-es
Salaam na alikuwa na nia ya kuzikausha na kisha kuziuza, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
AFISA Mdhamini shirika la taifa la
biashara Zanzibar ZSTC Pemba, Abdalla Ali Ussi, akiangalia karafuu polo 16,
zilizokamatwa na Polisi wa kituo cha Konde wakati kijana Mussa Khamis Jabu,
akizipakia kwenye gari ili kutaka kuzikausha kwa madai ya kuziokota bahari ya Kigamboni jijini Dar-es
Salaam, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WATENDAJI wa ZSTC Pemba wakizipakia karafuu
hizo ili kwenda kuanikwa na ZSTC na baadae kuuzwa.
No comments:
Post a Comment