ASKARI Polisi wa kituo cha Polisi Konde
wilaya ya Micheweni Pemba, akimkwida kijana ambae hakupatikana jina lake kwa
tuhuma za kuchimba mchanga wa wizi kwa kutumia gari lake la Ng’ombe ambapo askari
huyo hakufanikiwa kumfikisha kituoni kijana huyo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
ASKARI Polisi wa kituo cha Polisi Konde wilaya ya Micheweni Pemba akiendelea kuzozana na kijana anaedaiwa kuchimba mchanga wa wizi. (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment