BAADHI ya wandishi wa habari kisiwani Pemba,
wakimsikiliza Mratibu wa kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC tawi la
Pemba, Fatma Khamis Hemed akitoa historia fupi ya kituo hicho, kwenye mafunzo
ya haki za binadamu kwa waandishi hao, yaliofanyika kituoni hapo Chake chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWENYEKITI wa Klabu ya waandishi wa
habari Pemba ‘PPC’, Khatib Mjaja akifungua mafunzo ya haki za binadamu kwa
waandishi wa habari, yalioandaliwa na Kituo cha huduma za sheria Zanzibar
‘ZLSC’ tawi la Pemba, kulia ni Mratibu wa kituo hicho Fatma Khamis Hemed na
kushoto ni afisa mipango wa kituo Safia Saleh Sultan, (picha na Haji Nassor, Pemba).
MKUU wa shirika la magazeti ya serikali Zanzibar
ofisi ya Pemba , Bakar Mussa Juma, akitoa neno la shukurani baada ya hutuba ya
mgeni rasmi, kwenye mafunzo ya haki za binadamu kwa waandishi wa habari
kisiwani humo yalioandaliwa na kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC, (Picha na Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment