Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Philip Mpango akisalimiana na
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo wakati
alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kufungua Kikao-kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji
Wakuu wa Taasisi, Mashirika ya Umma na Wakala za Serikali
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Philip Mpango akisikiliza maelezo
kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba (NHC) Hamad Abdallah kuhusu
miradi mbalimbali ya makzi ya bei nafuu, wakati akikagua mabanda ya maonesho
katika katika ufunguzi wa Kikao-kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi, Mashirika
ya Umma na Wakala za Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Philip Mpango akihutubia wakati
akifungua Kikao-kazi cha Wenyeviti
wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi, Mashirika ya Umma na Wakala za Serikali
kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC)
No comments:
Post a Comment