Habari za Punde

Nyumba yaungua kwa moto Machomane, Pemba

WAFANYAKAZI wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Kisiwani Pemba, wakiwa juu ya Paaa la nyumba inayomilikiwa na Kombo Othaman, iliyoko maeneo ya Makondeko Machomanne wakitoa msaada wa kuzima moto uliounguza chumba cha watoto katika nyumba hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.