Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Nd.
Yahya Khamis Hamad akizungumza na waandishi wa habari kwa kutoa ufafanuzi
kuhusu kikao cha Mkutano wa Kumi na Tisa (19) wa Baraza la Nane (8) la
Wawakilishi unaotarajiwa kuanza siku ya Jumatano ya Tarehe 11 March, 2015
Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Nd.
Yahya Khamis Hamad akijibu maswali yaliyoulizwa na baadhi ya waandishi wa
habari wakati wa mkutano huo
Baadhi ya Waandishi wa Habari
waliohudhuria katika mkutano huo wakimsikiliza kwa makini Katibu wa Baraza la
Wawakilishi Zanzibar. (Picha na Rahma Khamis Maelezo-Zanzibar).
No comments:
Post a Comment