Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Imeendelea leo kati ya timu ya JKU na Shaba, JKU imeshinda 2--0

Mashabiki wakiwa katika majukwaa wakifuatilia mchezo wa mwazo wa ligi kuu ya Zanzibar baada ya kusimama kwa muda mrefu kutokana na kutofahamu ya Viongozi kusababisha ligi hiyo kusimama kwa muda mrefu na leo kuaza tena kuendelea kwa mchezo kati ya JKU na Shaba.Timu ya JKU imeshinda 2--0 
             Mshambuliaji wa timu ya JKU akimpita beki wa timu ya Shaba,( Wazee wa Dago).
            Mabeki wa timu ya Shaba wakijiribu kumzuiya mshambuliaji wa timu ya JKU
Mshambuliaji wa timu ya JKU akimpita beki wa timu ya Shaba katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya JKU imeshinda 2--0
              Mshambuliaji wa timu ya JKU Mohammed Abdalla akimpita beki wa timu ya Shaba.
Mchezaji wa timu ya JKU Ismail Khamis,akiruka kihuzi cha beki wa timu ya Shaba, wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya JKU imeshinda 2--0.
Mshambuliaji wa timu ya JKU Halid Rehani, akimpita beki wa timu ya Shaba Sheha Khamis wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya Zanzibarb kuaza tena leo baada ya muda mrefu kusimama kutokama na kutofahamu ya Viongozi wa ZFA. Timu ya JKU imeshinda 2--0.  
Taharuki imezuka katika jukwaa la urusi kutokana nac baadhi ya mashabiki waliokuwa katika jukwaa hilo kurusha mawe uwanja na kumpiga mshika kibendera Kisaka 
Muamuzi wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar Ramadhani Kibo ilibidi asimamishe mchezo huo kati ya JKU na Shaba kutokana na mashamiki wa jukwaa la Urusi kumrushia mawe mshika kibendera Kisaka, akimuonesha Kiongozi wa timu ya Shaba alipofika kujuwa kulikoni mchezo kusimama  
Golikipa wa timu ya Shaba Bakari Hassan, akiokoa mpira huku mshambuliaji wa timu ya JKU akiwa ya JKU Mohammed Abdalla akimkimbilia. 
Mshambuliaji wa timu ya Shaba akiwapita mabeki wa timu ya JKU katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya JKU imeshinda 2--0

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.