Habari za Punde

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Kisiwani Pemba

MRATIBU wa kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba Fatma Khamis Hemed, akifungua kongamano la maadhimisho ya siku ya wanawake dunia, ambapo kituo hicho kilikutana na wadau kujadili changamoto na mafanikio ya wanawake, yaliofanyika kwenye kituo hicho mjini Chake Chake,
 
MWANDISHI wa habari kutoka Idara ya Habari Maelezo Pemba Mohamed Khalfan Ali, akichangia jambo kwenye kongamano la maadhimisho ya siku ya wanawake dunia, yaliondaliwa na kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, ambapo kituo hicho kilikutana na wadau kujadili changamoto na mafanikio ya wanawake, yaliofanyika kwenye kituo
 
 MJUMBE wa Jumuia ya wanawake wenye ulemavu Zanzibar JUWAUZA, Hidaya Mjaka Ali, akitoa ushuhuda kwa kijana mwenye ulemavu alivyodhalilisha, kwenye kongamano la maadhimisho ya siku ya wanawake dunia, yaliondaliwa na kituo cha huduma za sheria Zanzibar tawi la Pemba, ambapo kituo hicho kilikutana na wadau kujadili changamoto na mafanikio ya wanawake, yaliofanyika kwenye kituo hicho mjini Chake Chake 
AFISA Mipango wa kituo cha huduma za sheria Zanzibar tawi la Pemba Khalifa Amour Mohamed akitoa ufafanuzi wa jambo, kwenye kongamano la maadhimisho ya siku ya wanawake dunia, yaliondaliwa na kituo cha huduma za sheria Zanzibar tawi la Pemba, ambapo kituo hicho kilikutana na wadau kujadili changamoto na mafanikio ya wanawake, yaliofanyika kwenye kituo hicho mjini Chake Chake,
MWANDISHI wa habari kutoka Idara ya Habari Maelezo Pemba Mohamed Khalfan Ali, akichangia jambo kwenye kongamano la maadhimisho ya siku ya wanawake dunia, yaliondaliwa na kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, ambapo kituo hicho kilikutana na wadau kujadili changamoto na mafanikio ya wanawake, yaliofanyika kwenye kituo hicho mjini Chake Chake, 
(Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.